
MAHITAJI:
- Kahawa (Liven Alkaline Coffee sugar free) – huongeza energy na kusaidia kuweka sukari ya damu sawa
- Tangawizi unga – huongeza mzunguko wa damu na joto la mwili
- Mdalasini unga – hudhibiti sukari ya damu na kusaidia circulation
- Pilipili manga unga – huongeza ufyonzwaji wa virutubisho mwilini
- Kitunguu swaumu unga – husafisha mishipa ya damu
NAMNA YA KUANDAA:
- Chemsha maji kiasi cha kikombe kimoja (chai) mpaka yachemke vizuri
- Weka robo kijiko (kukolegea sukari kwenye chai ) cha tangawizi ya unga kwenye maji hayo yanayo chemka
- Ogeza robo kijiko (kukolegea sukari kwenye chai ) cha mdalasini wa unga
- Ogeza tena robo kijiko (kukolegea sukari kwenye chai ) cha kitunguu saumu cha unga
- Ogeza tena robo ya robo kijiko (kukolegea sukari kwenye chai ) cha pililili manga ya unga
- Acha ichemke kwa dakika 5
- Andaa kikombe chako, fungua sachet 1 ya kahawa weka kwenye kikombe
- Mimina yale maji yaliyochemka, koroga vizuri
video hapo juu inakuelekeza kwa vitendo itizame kwa umakini
Sasa umeelewa jinsi ya kuandaa… na kutumia pia.
Swali la mwisho ni hili:
Utaenda kuandaa mwenyewe au nikupe ilio tayali imeandaliwa uanze kutumia?





NAMNA YA KUANDAA (HATUA KWA HATUA)hii nitayo kupatia
- Chemsha maji kiasi cha kikombe 1 (chai)
- Weka kijiko 1 kidogo cha chai cha mchanganyiko
- Acha ichemke kwa dakika 5
- Mimina kwenye kikombe
- Weka sachet 1 ya kahawa, koroga vizuri
- Kunywa ikiwa ya uvuguvugu
yani
Tumia kijiko 1 kidogo cha chai kwa kikombe 1 cha maji. Chemsha dakika 5, kisha changanya na kahawa.
MUDA SAHIHI WA KUTUMIA
Tumia usiku nusu saa kabla ya kulala
Hakikisha ni masaa 2 baada ya kula chakula
TAHADHARI ZA MSINGI
Kama una tumbo nyeti → tumia nusu kijiko cha chai
Usitumie zaidi ya mara 2 kwa siku
Epuka kuchanganya na pombe
Usizidishe pilipili manga
Wanaume wengi wanachelewa kuchukua hatua, na mwisho wanajikuta wakipoteza zaidi kujiamini, furaha, na heshima yao wenyewe.
Anza sasa kurejesha nguvu zako, stamina na kujiamini kwa njia ya asili na salama.
Usiwe mmoja wao.
box 1 (200g) lenye pakiti 20 pamoja na kopo lake hilo la unga wa mchanganyiko vijiko vidogo 20– linatosha siku 10-20
Bei: Tsh 80,000 tu
Stock haitunzwi kwa muda mrefu – tunaandaa kwa mahitaji ya walio agiza
Bonyeza kitufe hapo chini kuagiza sasa: